Усталюйце мабільнае прыкладанне Online Radio Box для вашага смартфона і слухайце любімыя радыёстанцыі онлайн, дзе б вы ні знаходзіліся!
00:00 04:00 |
SLOW GOSPEL SONGS
Kupanda moyo wa ibada
kwa mtu/msikilizaj
|
|
04:00 05:00 |
MORNING GLOR
Kuhakikisha kila mmoja
anaanza siku yake na Bwana
(MUNGU) kulingana 1Tim
2:1-4
|
|
05:00 07:00 |
MUZIKI NA MATANGAZO
Kuhakikisha wateja wetu
wanapata mrejesho chanya
juu ya shughuli, biashara au
huduma wanazotangazia
uma sambamba na
kuhabarisha jamii
|
|
07:00 09:00 |
TUZUNGUMZE
Kuhakikisha kero
zinatatuliwa kwenye jamii na
watu kupata majibu juu ya
masuala yanayowatatiza
|
|
09:00 10:00 |
SAYARI YA WATOTO
Kuwafanya watoto ambao ni
taifa la sasa na baadae kujua
mambo mbalimbali
yanayowahusu nyumbani na
shuleni
|
|
10:00 11:00 |
MZIKI NA MATANGAZO
Kuhakikisha wateja wetu
wanapata mrejesho chanya
juu ya shughuli, biashara au
huduma wanazotangazia
uma sambamba na
kuhabarisha jamii.
|
|
11:00 15:00 |
CHAGUO LA MSIKILIZAJI
Kueneza injili ya Yesu Kristo
kwa njia ya nyimbo
|
|
15:00 15:20 |
TAARIFA YA HABARI
Kuwapasha habari zinazojiri
kwa siku husika
|
|
15:20 18:00 |
MATANGAZO YA JIONI
Elimu, burudani na habari
|
|
18:00 22:00 |
MAHUBIRI
Kuwajulisha watu habari
njema za Yesu Kristo na
kuwavuta kuja kwake
|
|
22:00 00:00 |
NJOZI NJEMA
Kuwafanya wasikilizaji
wawe ndugu na kushirikiana
katika maeneo mbalimbali ya kijamii
kupitia redio.
|
Усталюйце дадатак Online Radio Box для вашага смартфона і слухайце любімыя радыёстанцыі онлайн, дзе б вы ні знаходзіліся! Цяпер ваша любімае радыё ў вас у кішэні, дзякуючы нашаму зручнаму дадатку.