Install the free Online Radio Box app for your smartphone and listen to your favorite radio stations online - wherever you are!

×
Like ? Save it to your favorites
×
Like ? Leave your review!
×
×

Program Tunduma Nlc Fm

(now in Songwe 06:26)
00:00 04:00 SLOW GOSPEL SONGS
Kuwafanya wasikilizaji wawe ndugu na kushirikiana katika mbalimbali ya kijamii kupitia redio.
04:00 05:00 MORNING GLORY
Kuhakikisha kila mmoja anaanza siku yake na Bwana (MUNGU) kulingana 1Tim 2:1-4
05:00 09:00 TWENDE KANISANI
Kuhakikisha kila mtu anashiriki ibada
09:00 13:00 KWAYA ZETU
Kuzipa nafasi kwaya katika huduma ya uimbaji
13:00 15:00 JUMAPILI NJEMA
Kuwaweka watu karibu
15:00 17:00 GOSPEL TOP 20
Kuhamasisha uimbaji unaozingatia ubora na ustadi kwa utukufu wa Mungu
17:00 18:00 MZIKI NA MATANGAZO
Kuhakikisha wateja wetu wanapata mrejesho chanya juu ya shughuli, biashara au huduma wanazotangazia uma
18:00 18:20 TAARIFA YA HABARI
Kuwapasha habari zinazojiri kwa siku husika
18:20 19:00 KANISANI LEO
Kila mmoja apate habari njema za Kristo Yesu
19:00 22:00 MAHUBIRI
Kuwajulisha watu habari njema za Yesu Kristo na kuwavuta kuja kwake (kuokolewa)
22:00 00:00 NJOZI NJEMA
Kuwafanya wasikilizaji wawe ndugu na kushirikiana katika mbalimbali ya kijamii kupitia redio.

Install the free Online Radio Box application for your smartphone and listen to your favorite radio stations online - wherever you are!