Install the free Online Radio Box app for your smartphone and listen to your favorite radio stations online - wherever you are!

×
Like ? Save it to your favorites
×
Like ? Leave your review!
×
×

Program Tunduma Nlc Fm

(now in Songwe 04:18)
00:00 04:00 SLOW GOSPEL SONGS
Kupanda moyo wa ibada kwa mtu/msikilizaji
04:00 05:00 MORNING GLORY
Kuhakikisha kila mmoja anaanza siku yake na Bwana (MUNGU) kulingana 1Tim 2:1-4
05:00 09:00 SAUTI YA ASUBUHI
Sauti ya asubuhi, inahakikisha jamii inafahamu, tabianchi Kwa siku husika na mambo yote muhimu yanayoendelea katika jamii na taifa Kwa ujumla.
09:00 12:00 MWANGAZA
Kuhakikisha kila mmoja anatambua kuwa yupo kwa kusudi la Mungu na anaishi maisha matakatifu yenye ushuhuda.
12:00 13:00 MATANGAZO YA DW
Kuijuza jamii mambo mtambuka yanayoendelea duniani kote.
13:00 15:00 AMAZING PRAISE (Utukufu wa Bwana)
Kila mtu atambue kuwa ni Mungu pekee astahilie kutukuzwa na kuabudiwa kwa sifa zote. Waefeso 1:6-8
15:00 16:00 FAHAMU ZAIDI
Kuhakikisha wateja wetu wanapata mrejesho chanya juu ya shughuli, biashara au huduma wanazotangazia uma sambamba na kuhabarisha jamii.
16:00 18:00 TUNDUMA SPORTS (T.SPORTS)
Kumpa haki yake msikilizaji na mpenzi wa michezo sambamba na kuchochea jamii kupenda na kushiriki katika michezo mbalimbali kwenye maeneo yao.
18:00 19:00 DIRA YA SIKU
Kila mmoja ajue habari, matukio na maagizo, maelekezo mbalimbali kutoka katika mamlaka mbalimbali ikiwemo Serikali
19:00 22:00 MAHUBIRI
Kuwajulisha watu habari njema za Yesu Kristo na kuwavuta kuja kwake (kuokolewa)
22:00 00:00 NJOZI NJEMA
Kuwafanya wasikilizaji wawe ndugu na kushirikiana katika mbalimbali ya kijamii kupitia redio.

Install the free Online Radio Box application for your smartphone and listen to your favorite radio stations online - wherever you are!