Install the free Online Radio Box app for your smartphone and listen to your favorite radio stations online - wherever you are!

×
Like ? Save it to your favorites
×
Like ? Leave your review!
×
×

Program Tunduma Nlc Fm

(now in Songwe 06:24)
00:00 04:00 SLOW GOSPEL SONGS
Kupanda moyo wa ibada kwa mtu/msikilizaj
04:00 05:00 MORNING GLOR
Kuhakikisha kila mmoja anaanza siku yake na Bwana (MUNGU) kulingana 1Tim 2:1-4
05:00 07:00 MUZIKI NA MATANGAZO
Kuhakikisha wateja wetu wanapata mrejesho chanya juu ya shughuli, biashara au huduma wanazotangazia uma sambamba na kuhabarisha jamii
07:00 09:00 TUZUNGUMZE
Kuhakikisha kero zinatatuliwa kwenye jamii na watu kupata majibu juu ya masuala yanayowatatiza
09:00 10:00 SAYARI YA WATOTO
Kuwafanya watoto ambao ni taifa la sasa na baadae kujua mambo mbalimbali yanayowahusu nyumbani na shuleni
10:00 11:00 MZIKI NA MATANGAZO
Kuhakikisha wateja wetu wanapata mrejesho chanya juu ya shughuli, biashara au huduma wanazotangazia uma sambamba na kuhabarisha jamii.
11:00 15:00 CHAGUO LA MSIKILIZAJI
Kueneza injili ya Yesu Kristo kwa njia ya nyimbo
15:00 15:20 TAARIFA YA HABARI
Kuwapasha habari zinazojiri kwa siku husika
15:20 18:00 MATANGAZO YA JIONI
Elimu, burudani na habari
18:00 22:00 MAHUBIRI
Kuwajulisha watu habari njema za Yesu Kristo na kuwavuta kuja kwake
22:00 00:00 NJOZI NJEMA
Kuwafanya wasikilizaji wawe ndugu na kushirikiana katika maeneo mbalimbali ya kijamii kupitia redio.

Install the free Online Radio Box application for your smartphone and listen to your favorite radio stations online - wherever you are!