Instala la aplicación gratis Online Radio Box para su teléfono y escucha sus estaciones de radio en línea favoritas dondequiera que esté!

×
Like ? Guardar en tus Favoritos
×
Like ? ¡Deja tu reseña!
×
×

NJOZI NJEMA

Sáb
22:00
Wasikilizaji kupigiana simu na kutumiana ujumbe mbalimbali wa kutakiana usiku mwema na kuombeana heri kwa siku ijayo.

Instala la aplicación gratis Online Radio Box para su teléfono y escucha sus estaciones de radio en línea favoritas dondequiera que esté!

Programación

09:00 MWANGAZA
Kuhakikisha kila mmoja anatambua kuwa yupo kwa kusudi la Mungu na anaishi maisha matakatifu yenye ushuhuda.
12:00 MATANGAZO YA DW
Kuijuza jamii mambo mtambuka yanayoendelea duniani kote.
13:00 AMAZING PRAISE (Utukufu wa Bwana)
Kila mtu atambue kuwa ni Mungu pekee astahilie kutukuzwa na kuabudiwa kwa sifa zote. Waefeso 1:6-8
El programa completa