Instałuj darmową aplikację mobilną Online Radio Box do swego smartfonu i słuchaj uliubionę stacji radiowe na żywo gdziekolwiek!

×
Lubię to ? Zapisz do ulubionych
×
Lubię to ? Zostaw swoją opinię!
×
×

MWANGAZA

Po - Pi
09:00
Kinalenga kuwafahamisha watu kuhusu uwezo wa Mungu katika maisha ya kila kiumbe, kuchochea usomaji wa Biblia na Uchaji wa Mungu, kwa kila mmoja.

Instałuj darmową aplikację Online Radio Box do swego smartfonu i słuchaj uliubionę stacji radiowe na żywo gdziekolwiek!

Program

05:00 SAUTI YA ASUBUHI
Sauti ya asubuhi, inahakikisha jamii inafahamu, tabianchi Kwa siku husika na mambo yote muhimu yanayoendelea katika jamii na taifa Kwa ujumla.
09:00 MWANGAZA
Kuhakikisha kila mmoja anatambua kuwa yupo kwa kusudi la Mungu na anaishi maisha matakatifu yenye ushuhuda.
12:00 MATANGAZO YA DW
Kuijuza jamii mambo mtambuka yanayoendelea duniani kote.
Cały program