Nainštalujte si bezplatnú mobilnú aplikáciu Online Radio Box do smartfónu a počúvajte svoje obľúbené rádiové stanice online kdekoľvek!

×
Páči sa mi ? Uložiť medzi obľúbené
×
Páči sa mi ? Zanechajte recenziu!
×
×

SAUTI YA ASUBUHI

Pon - Pia
05:00
Habari, utabiri wa hali ya hewa, usalama barabarani, uchambuzi Wa magazeti, michezo na mijadala kuhusu masuala mbalimbali ya kijamii na kukaribisha wageni studio.

Nainštalujte si aplikáciu Online Radio Box aplikáciu do smartfónu a počúvajte svoje obľúbené rádiové stanice online kdekoľvek!

Program

00:00 SLOW GOSPEL SONGS
Kupanda moyo wa ibada kwa mtu/msikilizaji
04:00 MORNING GLORY
Kuhakikisha kila mmoja anaanza siku yake na Bwana (MUNGU) kulingana 1Tim 2:1-4
05:00 SAUTI YA ASUBUHI
Sauti ya asubuhi, inahakikisha jamii inafahamu, tabianchi Kwa siku husika na mambo yote muhimu yanayoendelea katika jamii na taifa Kwa ujumla.
Celý program